• Home
  • About Us
  • Contact Us

LENZI YA MICHEZO

MICHEZO NA BURUDANI


  • Home
    • MICHEZO
    • KITAIFA
    • SOKA
    • KIMATAIFA
    MICHEZO

    Mageuzi ya AI katika Utamaduni: Lipi Jukumu lako Mwanadamu

    Saturday, June 20, 2026
      Mageuzi ya uhifadhi wa utamaduni yameingia katika hatua mpya kupitia Akili Unde (AI) katika ulimwengu ambao teknolojia inakua kwa kasi...Soma Zaidi
    HABARI

    JMAT YAWATAHADHARISHA VIJANA KUEPUKA KUTUMIKA KUVURUGA AMANI KWA MASLAHI YA WATU WACHACHE

    Friday, June 19, 2026
    Vijana wametakiwa kujiepusha na vitendo vinavyochochea uvunjifu wa amani na kuacha kutumika  kwa maslahi ya watu wachache wanaolenga kuvurug...Soma Zaidi
    HABARI

    POLISI WAFICHUA MPANGO WA UHALIFU JULAI 7

    Friday, June 19, 2026
      Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa watu wote wanaohamasisha na kupanga kutekeleza vitendo vya uvunjifu wa amani na uhalifu nchini, wa...Soma Zaidi
    HABARI

    RAIS SAMIA AMUAPISHA JINGU KUWA MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA, ASISITIZA NIDHAMU, UWAJIBIKAJI NA MAADILI KATIKA UTOAJI HAKI

    Friday, June 19, 2026
      Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi wote wa Mahakama nchini kuendelea kusim...Soma Zaidi
    HABARI

    UZUSHI KANDO: Marekani Haina Mgogoro na Serikali ya Tanzania, Seneti Yataka Maridhiano Tu Ili Mambo Yaende

    Friday, June 19, 2026
      BUNGE la Seneti la Marekani limetaka kuanzishwa kwa mchakato wa mazungumzo ya kutafuta maridhiano ya kisiasa nchini ili kuirejesha nchi ka...Soma Zaidi
    HABARI

    Rais wa Namibia Kurudi Magomeni Alikoishi Miaka ya 1980!

    Thursday, June 18, 2026
      Mtaa wa Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam unatarajiwa kufurika shangwe na nderemo wakati utakapomkaribisha aliyekuwa "jirani...Soma Zaidi
    HABARI

    Ukuaji wa Idadi ya Wanyamapori Nchini: Fursa ya Dhahabu ya Ajira Kwenye Mnyororo wa Thamani wa Utalii Tanzania

    Thursday, June 18, 2026
    Na Mwandishi Wetu Kuongezeka kwa idadi ya wanyamapori nchini kumeendelea kufungua milango mikubwa ya ajira na fursa za kiuchumi kwa Wata...Soma Zaidi
    HABARI

    Haja ya Utulivu, Demokrasia na Amani Katika Kufanikisha Mchakato Endelevu wa Katiba Mpya Nchini

    Thursday, June 18, 2026
    Serikali imesisitiza kuwa mchakato wa kupata Katiba Mpya unahitaji utulivu wa kisiasa, amani, na misingi thabiti ya kidemokrasia ili uweze...Soma Zaidi
    HABARI

    Upanuzi wa Vyuo vya VETA: Mkakati wa Serikali Utakavyofuta Changamoto ya Ukosefu wa Ajira

    Thursday, June 18, 2026
      Na Mwandishi Wetu Uwekezaji mkubwa unaofanywa na serikali katika kupanua elimu ya ufundi stadi nchini unatajwa kuwa mwarobaini utakaom...Soma Zaidi
    MICHEZO KITAIFA

    Mwinjuma: Tuendeleze vipaji vya watoto ili kujenga kizazi chenye uwezo wa kushindana kimataifa

    Thursday, June 18, 2026
    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, amewataka walimu, wazazi na wadau wa michezo kuendelea kushirikian...Soma Zaidi
    HABARI

    MTEGO WA TEHAMA: VIJANA CHAGUENI FURSA NA UZALENDO BADALA YA MAISHA BWETE NA VURUGU ZA KISIASA

    Wednesday, June 17, 2026
    Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHEMA) yameleta fursa na changamoto kubwa nchini. Licha ya kurahisisha maisha,...Soma Zaidi
    HABARI

    VYOMBO VYA HABARI VYA MTANDAONI KINARA UWASILISHAJI KAZI SAMIA KALAMU 2026 AWARDS

    Wednesday, June 17, 2026
        Hadi kufikia Jumatatu, tarehe 15 Juni 2026, jumla ya kazi za kushindanishwa 624 zimekwishawasilishwa kutoka sehemu mbalimbali nchini...Soma Zaidi
    HABARI

    SANGU :MAHUSIANO MEMA NI MSINGI WA KUIMARISHA UMOJA NA DEMOKRASIA NCHINI

    Wednesday, June 17, 2026
    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Deus Sangu amesema mahusiano mema, mazungumzo ya kujenga na mshikamano wa ki...Soma Zaidi
    BURUDANI

    MAMILIONI YA WHICKERS YATUA TANZANIA KUKAMILISHA FILAMU YA CHIDREN OF HONEY

    Wednesday, June 17, 2026
    Na Rahel Pallangyo Filamu ya Kitanzania ya Children of Honey imejipatia ruzuku nono ya pauni 120,000 za Uingereza, ambazo ni zaidi ya s...Soma Zaidi
    BURUDANI

    Tanzanian Film ‘Children of Honey’ Secures TZS 400M Grant to Complete Production

    Wednesday, June 17, 2026
    Left to Right - Director Emanuel Musa Marco, Film and Impact Producer Simona Nickmanova and Director Jigar Ganatra By Rahel Pallangyo Th...Soma Zaidi
    HABARI

    Tuwakatae kwa nguvu zote wachochezi wanaotaka kuturudisha Oktoba 29

    Tuesday, June 16, 2026
    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amewataka vijana kuendelea kulinda amani na utu...Soma Zaidi
    HABARI

    Waitara: Wanaoleta taharuki washughulikiwe

    Tuesday, June 16, 2026
    Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ameweka msimamo mkali Bungeni jijini Dodoma akiwataka viongozi wanaotoa matamko yanayozua taharuki...Soma Zaidi
    HABARI

    Uchochezi hauna nafasi, watanzania wajitambue

    Tuesday, June 16, 2026
    Umoja wa Waendesha Magari ya Biashara (Kirikuu) wa Manzese, Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam, umewataka Watanzania kuendelea kudumisha ...Soma Zaidi
    MICHEZO

    Sare ya kihistoria ya Qatar dhidi ya Uswizi katika Kombe la Dunia la FIFA

    Tuesday, June 16, 2026
    Bao la dakika ya 95 la Boualem Khoukhi sio tu lilipata pointi muhimu lakini pia liliashiria sare ya kwanza kabisa ya nchi hiyo katika Kombe...Soma Zaidi
    HABARI

    UMMA WAHADHARISHWA TAARIFA YA UONGO KUHUSU KIKWETE,IPUUZWE

    Monday, June 15, 2026
      Ofisi ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, inapinga na kukanusha vikali taarifa ya u...Soma Zaidi
    HABARI

    Hassan Msumari Aonya Viashiria vya Uvunjifu wa Amani

    Monday, June 15, 2026
    Katibu Mkuu wa Chama cha Muziki wa Rhumba Tanzania, Hassan Msumari, ametoa mwito kwa jamii akieleza kuwa itakuwa ni aibu kubwa kwa kizazi ch...Soma Zaidi
    HABARI

    DC Mpogolo ataka kudumishwa amani kwa maendeleo

    Monday, June 15, 2026
    MKUU wa Wilaya ya Ilala,Mhe Edward Mpogolo, amewataka wakazi wa Dar es Salaam kuendelea kulinda na kudumisha amani, umoja na mshikamano pamo...Soma Zaidi
    Newer Posts Older Posts Home
    Subscribe to: Posts ( Atom )

    MPIGANAJI

    MPIGANAJI

    WATEMBELEAJI

    Blogu Marafiki

    • CCM Blog
      JISOMEE MAGAZETI YA LEO JUMATATU JUNI 22, 2026 -
      4 hours ago
    • BBC News Swahili
      Amka Na BBC - Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
      6 hours ago
    • LENZI YA MICHEZO
      Kutoka Magomeni hadi Kongwa: Rais wa Namibia Azidisha Hisia za Kihistoria na Urafiki wa Damu Nchini Tanzania - Safari ya kihistoria na iliyojaa mguso wa kipekee wa kiitikadi na kibinadamu ya Rais wa Namibia, Dk. Netumbo Nandi-Ndaitwah nchini Tanzania imeendelea...
      14 hours ago
    • MICHUZI BLOG
      RAIS SAMIA AHAMASISHA BIASHARA TANZANIA–NAMIBIA, ASEMA FURSA BADO NYINGI ZA UWEKEZAJI - Na Janeth Raphael -MichuziTv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa Tanzania na Namibia k...
      1 day ago
    • MOBILA SAFARIS
      Backyard Birding: How the Mobila Team Found Safari Magic Just Outside the Office Window - There is a common misconception that you have to travel hours into the depths of national parks to experience the vibrant wildlife of East Africa....
      1 day ago
    • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
      MEXICO YAJIWEKA PAZURI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUILAZA KOREA KUSINI 1-0 - WENYEJI, Mexico wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Korea Kusini katika mchezo wa Kundi A Fainali za Kombe la Dunia Alfajiri ya leo Uwanja wa Akron,...
      3 days ago
    • HABARI NA MATUKIO
      Banda la WMA Lavutia Mamia ya Wananchi Kutafuta Elimu ya Vipimo - *Na Mwandishi Wetu, Dodoma* *Wananchi waliotembelea banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika Maonesho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendele...
      3 days ago
    • Wazalendo 25 Blog
      Uchumi : Rais Samia Aipa BOT Dira Mpya - Na Janeth Raphael MichuziTv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameielekeza Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuongeza uwezo wa kuc...
      1 week ago
    • ZanziNews
      WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS - MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka jiwe la ms...
      2 months ago
    • HABARI MSETO BLOG
      -
    • WWW.BUKOBASPORTS.COM
      -
    Show 7 Show All

    TUFUATILIE

    • 200 Fans Like
    • 31,960 Followers Follow
    • 0 Fans Follow
    • 18 Subscribers Subscribe

    HABARI ZA MICHEZO PENDWA

    •    Mageuzi ya AI katika Utamaduni: Lipi Jukumu lako Mwanadamu
      Mageuzi ya AI katika Utamaduni: Lipi Jukumu lako Mwanadamu
        Mageuzi ya uhifadhi wa utamaduni yameingia katika hatua mpya kupitia Akili Unde (AI) katika ulimwengu ambao teknolojia inakua kwa kasi...
    •  Dk. Kikwete  yuko Juba  akisaka suluhu Sudan Kusini
      Dk. Kikwete yuko Juba akisaka suluhu Sudan Kusini
      Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza katika Jukwaa la Pili la Ushirikiano wa Umajumui wa Afrika lililoandaliwa na Serikali ya...
    • KATAMBI: AMANI NA USALAMA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI
      KATAMBI: AMANI NA USALAMA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI
      Serikali ya Tanzania imeahidi kuendelea kulinda, kusimamia na kutekeleza haki za binadamu ikiwemo haki za raia wa Tanzania pamoja na wakimbi...
    •    MAMILIONI YA WHICKERS YATUA TANZANIA KUKAMILISHA FILAMU YA CHIDREN OF HONEY
      MAMILIONI YA WHICKERS YATUA TANZANIA KUKAMILISHA FILAMU YA CHIDREN OF HONEY
      Na Rahel Pallangyo Filamu ya Kitanzania ya Children of Honey imejipatia ruzuku nono ya pauni 120,000 za Uingereza, ambazo ni zaidi ya s...
    •    Watanzania Watakiwa Kuachana na  Taarifa Zisizo Sahihi za Mitandao ya Kijamii Kuhusu Ubia wa Tanzania na EU
      Watanzania Watakiwa Kuachana na Taarifa Zisizo Sahihi za Mitandao ya Kijamii Kuhusu Ubia wa Tanzania na EU
      Serikali imewataka wananchi kuachana na taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari amb...
    • Mchungaji Hananja aonya matumizi ya hovyo ya mitandao
      Mchungaji Hananja aonya matumizi ya hovyo ya mitandao
          Mchungaji Richard Hananja amewataka vijana kutafakari kwa kina kabla ya kushiriki katika vitendo vinavyoweza kuhatarisha amani na ut...
    •  Benki ya CRDB Yaibeba AFCON 2027, Dk Nsekela Aahidi Ushirikiano Utakaotingisha Dodoma hadi Afrika Mashariki
      Benki ya CRDB Yaibeba AFCON 2027, Dk Nsekela Aahidi Ushirikiano Utakaotingisha Dodoma hadi Afrika Mashariki
      Benki ya CRDB imeahidi kuunga mkono maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) ikijiweka kama mshirika mkuu wa sekta binafsi kati...
    • WEMA SEPETU AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME
      WEMA SEPETU AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME
      Machozi ya miaka mingi, maswali yasiyo na majibu kutoka kwa jamii, na safari ndefu ya matibabu hatimaye, Malkia wa filamu na mwanamitindo ma...
    •  TANZANIA NA NAMIBIA ZAANZA SAFARI MPYA YA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI; ZASAINI HATI NNE ZA MAKUBALIANO IKULU DAR ES SALAAM
      TANZANIA NA NAMIBIA ZAANZA SAFARI MPYA YA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI; ZASAINI HATI NNE ZA MAKUBALIANO IKULU DAR ES SALAAM
      Na Mwandishi Wetu, BSKY Media Tanzania na Namibia zimekubaliana kuendeleza uhusiano wao wa kihistoria uliotokana na harakati za ukombozi kwa...
    •  “Matusi No, Hoja Ndio!” Kihongosi Awasha Moto Iringa, Awatolea Nje Wanasiasa Wanaohubiri Vurugu Mtandaoni na Uwanjani
      “Matusi No, Hoja Ndio!” Kihongosi Awasha Moto Iringa, Awatolea Nje Wanasiasa Wanaohubiri Vurugu Mtandaoni na Uwanjani
      Msemaji Mkuu wa Chama Cha Maapinzui (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amezichanga karata zake upya na kuweka nukta kwenye siasa za drama na taha...

    Wasomaji Kimataifa

    Flag Counter

    MAKTABA YA MICHEZO

    BURUDANI GOFU HABARI JEZI JUDO KIKAPU KUOGELEA MICHEZO MICHEZO KIMATAIFA MICHEZO KITAIFA NGUMI RIADHA SANAA SOKA TAFF TFF WALEMAVU WANAWAKE

    KUMBUKUMBU ZA MICHEZO

    MARAFIKI

    HABARI MCHANGANYIKO

    HABARI MPYA

    HABARI ZINASOMWA ZAIDI

    • RATIBA NA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA RAUNDI YA PILI, KAGERA SUGAR vs MBEYA CITY KUCHEZWA KAITABA STADIUM JUMAMOSI, YANGA VS ASHANTI UNITE TAIFA
      RATIBA NA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA RAUNDI YA PILI, KAGERA SUGAR vs MBEYA CITY KUCHEZWA KAITABA STADIUM JUMAMOSI, YANGA VS ASHANTI UNITE TAIFA
      Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara unaanza Jumamosi kwa mechi tano katika miji ya Bukob...
    • RATIBA LIGI KUU ENGLAND WIKIENDI HII NA MSIMAMO ULIVYO MPAKA SASA 2013/2014
      RATIBA Jumamosi 31 Agosti 14:45 - Manchester City v Hull City 17:00 - Cardiff City v Everton 17:00 - Newcastle United v Fulham 17:0...
    • HAWA NDIO MANCHESTER UNITED INAOWANYATIA KWENYE USAJILI LIGI KUU ENGLAND
      David Moyes is hoping for a more successful transfer window this time around Luke Shaw of Southampton ...

    Copyright (c) 2012 - 2025 LENZI YA MICHEZO All Right Reserved

    Designed by Gadiola Emanuel - 0784 643 633
    Template By TBN | Developed By Gadiola Emanuel