Tuesday, April 1, 2025
Timu ya Simba Sc Kesho Kuvaana na Al Masry, Kocha Azungumza
›
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry yamekamilika...
Tuesday, October 1, 2024
Simba Queens, Yanga Princess hapatoshi
›
BINGWA mtetezi wa Ngao ya Jamii, Simba Queens kesho inacheza na Yanga Princess katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kwa soka la w...
Samatta kundini tena Stars
›
NAHODHA wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta amerejea kwenye kikosi cha timu hiyo kinachojiandaa na mechi z...
Saturday, August 10, 2024
Simba kuanza ligi nyumbani, Yanga Ugenini
›
Simba Yanga SIMBA na Yanga zinatarajiwa kukutana Oktoba 19, mwaka huu katika mzunguko wa nane wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Katika mchezo h...
Wednesday, August 7, 2024
ZENA CHANDE, SOMOE NG'ITU WACHUKUA FOMU KUGOMBEA TWFA
›
Zena Chande Somoe Ng'itu WANAHABARI wakonge Zena Chande na Somoe Ng’itu wamechukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi tofauti kwenye Ucha...
Friday, July 26, 2024
Kokteli ya Jack Daniel’s na Coca-Cola katika kopo yazinduliwa Dar
›
Brown-Forman Corporation na Kampuni ya Coca-Cola wameingiza mtaani kitu kipya ambacho ni kileo kilicho tayari kwa kunywekwa (ARTD) . Kiny...
Wednesday, July 24, 2024
TIMU YA TAIFA YA MICHEZO YA OLIMPIKI UFARANSA 2024 YAWASILI PARIS
›
Kundi la kwanza la wachezaji wa Tanzania watakaoiwakilisha nchi katika Michezo ya Olimpiki limewasili salama asubuhi ya leo Julai 24, 2024 ...
KCB EAST AFRICA GOLF TOUR KUFANYIKA LUGALO
›
SHINDANO la wazi la mchezo wa gofu (KCB EAST Africa Golf tour) linatarajiwa kufanyika Agosti 3 mwaka huu katika Viwanja vya Lugalo Dar es ...
SIMBA YAMCHUKULIA KIBU MTORO KAZINI
›
UONGOZI wa Simba umesema kitendo cha mshambuliaji Denis Kibu kutokuwepo kambini hakiathiri mipango yao ila watamchukulia hatua za kinidham...
AZIZI KI, FEI TOTO WAKABANA KOO TUZO ZA TFF
›
Fei Toto Aziz Ki TUZO ya mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2023/2024 imeonekana kuwa na ushindani baada ya Shirikisho la Mp...
SIMBA YAZINDUA JEZI ZA MSIMU 2024/2025
›
UZINDUZI wa wiki ya Simba na jezi zinazotumika kwa msimu ujao umefanya mji wa Morogoro uliopambwa na milima kuwa rangi nyekundu na nyeupe ...
DUBE AIBEBA YANGA
›
YANGA imepata ushindi wa kwanza wa michuano ya Kombe la Mpumalanga baada ya kuafunga wenyeji wao Tx Galaxy kwa bao 1-0 katika Uwanja wa Mb...
SHIME ATAJA KIKOSI CHA SERENGETI GIRLS KITAKACHOSHIRIKI MASHINDANO TUNISIA
›
Saturday, July 20, 2024
Kesi ya Yanga kuanza kusikilizwa upya
›
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imekubali ombi la Klabu ya Yanga la kusogezwa mbele kwa muda wa kusikilizwa kesi iliyofunguli...
APR, Red Arrows fainali Cecafa
›
Red Arrows Kikosi cha APR TIMU za APR ya Rwanda na Red Arrows ya Zambia leo zinatarajiwa kucheza fainali ya Kombe la Dar Port Kagame 202...
Tanzania yapanda viwango Fifa
›
TANZANIA imepanda nafasi moja katika viwango vya ubora wa soka kutoka nafasi ya 114 hadi 113 katika viwango vya Shirikisho la Mpira wa Mig...
Timu ya Olimpiki yaagwa, yatamba
›
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Suleiman Serera (kushoto) akimkabidhi bendera ya taifa nahodha wa timu ya T...
Yanga yaonja ladha ya Bundesliga
›
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamefungwa mabao 2-1 na timu ya Augsburg inanayocheza Ligi Kuu ya Ujerumani kwenye michuano ya M...
Karia: Haya ni maandalizi ya Wafcon
›
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Wallace Karia amesema maandalizi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya Wanawake (WAFC...
Wednesday, July 17, 2024
Yanga kinara mashabiki viwanjani
›
Yanga inaongoza kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani ambapo waliingia 141, 911 kwa msimu wa 2023/2024 ikifuatiwa na Simba 122,717, Mash...
Simba kinara mapato mlangoni Ligi Kuu Tanzania Bara
›
KLABU ya Simba inaongoza kwa mapato ya milango kwa msimu wa 2023/2024. Katika taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL...
Aisha Masaka aula England
›
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Aisha Masaka amesajiliwa na klabu ya Brighton & Hove Albion FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanaw...
Tuesday, July 16, 2024
Azam FC yashusha kiungo kutoka Mali
›
Azam FC imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Mali, Cheickna Diakite, kutoka miamba ya huko, Real Bamako. Nyota ...
Majaliwa azindua VAR, vifaa vya matangazo Azam
›
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema uzinduzi wa vifaa vya kisasa vya kurushia matangazo ya mpira wa miguu na video za usaidizi wa waamuzi...
›
Home
View web version