Pages

Wednesday, July 17, 2024

Yanga kinara mashabiki viwanjani


 

Yanga inaongoza kwa kuingiza mashabiki wengi  viwanjani ambapo waliingia 141, 911 kwa msimu wa 2023/2024 ikifuatiwa na Simba 122,717, Mashujaa 45,638, Tabora United 43,808, Azam FC 35,379, Dodoma Jiji 30,381, Geita Gold 24,774, Coastal Union 24,161.

Nyingine ni Tanzania Prisons 24,147, Singida Fountain Gate 21,154, KMC 15,495, Ihefu 15,075, Namungo 14,202, Kagera Sugar 12,323, JKT Tanzania 9,397 na Mtibwa Sugar ikashika mkia kwa kuingiza watu 7,529.

No comments:

Post a Comment