RAIS SAMIA AENDA AGA KHAN KUMJULIA HALI KAKA YAKE NA MWENYEKITI WA ACT WAZALENDO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, Kaka mkubwa wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Mhe. Othman Masoud Othman, anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali  Mchezaji wa Timu ya Yanga Pacome Zouzoua aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan, kumpa pole kufuatia majeraha aliyopata katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo hivi karibuni.



No comments