• Home
  • About Us
  • Contact Us

LENZI YA MICHEZO

MICHEZO NA BURUDANI


  • Home
    • MICHEZO
    • KITAIFA
    • SOKA
    • KIMATAIFA
    HABARI

    Askofu Keshomshahara awataka vijana kukabili changamoto za maisha

    Sunday, August 23, 2026
       ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Dk Abednego Keshomshahara amewataka vijana kua...Soma Zaidi
    MICHEZO

    TFF YAMFUNGIA MMILIKI WA AZAM FC

    Sunday, August 23, 2026
    KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia mmiliki wa Azam FC, Jamal Bakhresa kutojihusisha na mpira kwa ki...Soma Zaidi
    MICHEZO

    Adhabu Kali Zatolewa kwa Argentina na Hispania Vurugu Fainali ya Kombe la Dunia

    Sunday, August 23, 2026
    Shirika la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limetoa adhabu kali kwa wachezaji watatu wa Argentina na mmoja wa Hispania kutokana na kuhusika kwa...Soma Zaidi
    HABARI

    Simba Queens yatikisa Kigali

    Sunday, August 23, 2026
    SIMBA Queens imeanza vema michuano ya kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake baada ya kuifunga Top Girls Academy FC ya Burundi maba...Soma Zaidi
    HABARI

    Balozi Saidi Yakubu ateta Hifadhi ya Magofu ya Kilwa ni urithi

    Sunday, August 23, 2026
    BALOZI wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UN...Soma Zaidi
    HABARI

    WASIRA: CCM ITAHAKIKISHA UCHUMI WA TANZANIA UNAENDELEA KUWA IMARA

    Sunday, August 23, 2026
      MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM inalenga kuhakikisha uchumi wa Tanzania unakua k...Soma Zaidi
    HABARI

    DC MPOGOLO ATAKA USAFI KUWA SEHEMU YA KILA SIKU YA MAISHA

    Saturday, August 22, 2026
    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mheshimiwa Edward Mpogolo, ameongoza zoezi la usafi katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, huku akiwata...Soma Zaidi
    HABARI

    SAMIA AZINDUA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE NA KUAGIZA KUKAMILISHWA KWA MIUNDOMBINU YA USAFIRISHAJI

    Saturday, August 22, 2026
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,ameitaka Wizara ya Nishati kusimamia ukamilishaji wa haraka wa ...Soma Zaidi
    HABARI

    VIJANA WAAMBIWA NI WAKATI KUBADILISHA UBUNIFU KUWA UTAJIRI

    Saturday, August 22, 2026
    Maonyesho ya Mashariki Creative Economy Expo 2026 yaliyohitimishwa hivi karibuni katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam yalikuwa...Soma Zaidi
    HABARI

    SERIKALI YAANDAA MPANGO WA MATUMIZI YA MAENEO YA MAJI KUTEKELEZA UCHUMI WA BULUU

    Saturday, August 22, 2026
    Serikali inaandaa mpango wa matumizi ya maeneo ya maji ikiwa ni mkakati wa utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uchumi wa Buluu kwa lengo la kuha...Soma Zaidi
    HABARI

    MRADI WA UPANUZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM ENEO LA KURASINI WAFIKIA ASILIMIA 98

    Saturday, August 22, 2026
    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo la zamani l...Soma Zaidi
    MICHEZO

    KUGEUZA UBUNIFU KUWA MALI YENYE THAMANI: NINI KIFANYIKE BAADA YA MAONYESHO YA MASHARIKI CREATIVE ECONOMY EXPO 2026

    Saturday, August 22, 2026
    Maonyesho ya Mashariki Creative Economy Expo 2026 yaliyohitimishwa hivi jana katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam na kuratibiw...Soma Zaidi
    HABARI

    WAZIRI OMAR ASHUKURU IMF KWA USHIRIKIANO WA MUDA MREFU NA TANZANIA

    Friday, August 21, 2026
     Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, amelishukuru Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa mchango wake kwa Tanzania tangu kuanza...Soma Zaidi
    HABARI

    DC MPOGOLO ATAKA KASI MIRADI YA MIUNDOMBINU KABLA YA VULI

    Friday, August 21, 2026
    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya miundombinu katika Wilaya ya Ilala kuongeza kasi...Soma Zaidi
    MICHEZO

    DKT. MWIGULU AAGIZA KASI YA UJENZI WA VIWANJA VYA MAZOEZI VYA AFCON IONGEZEKE

    Friday, August 21, 2026
    ︎ Ataka kazi ifanyike usiku na mchana inapowezekana; ︎ Asisitiza mashindano hayo ni fursa kubwa ya kiuchumi kwa Tanzania; ︎ Awataka wakandar...Soma Zaidi
    HABARI

    Wasira ataka makundi yote Tume ya Maridhiano

    Friday, August 21, 2026
    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema ni muhimu kwa tume itakayoundwa kwa ajili ya mchakato wa maridhiano ishirikishe makundi yote ili kupata m...Soma Zaidi
    HABARI

    Wapinzani wasifu ujasiri wa serikali miradi mikubwa ya kimkakati

    Friday, August 21, 2026
    Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Makini, Coster Kibonde alisema uthubutu aliouonesha Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza mradi wa K...Soma Zaidi
    BURUDANI

    Mustafa aomba Watanzania kumpigia kura Latricia

    Friday, August 21, 2026
     Mkurugenzi wa Miss World Tanzania, Mustafa Hassanali aliwaomba Watanzania kumpigia kura Latricia awamu ya kwanza shindano la chaguo la watu...Soma Zaidi
    HABARI

    RAIS SAMIA, BENKI YA DUNIA WAJADILI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUHARAKISHA MAGEUZI YA KIUCHUMI

    Thursday, August 20, 2026
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti20,2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa...Soma Zaidi
    HABARI

    DC MPOGOLO AWAONYA BODABODA KIVULE: "Acheni Mwendokasi, Vaeni Kofia Ngumu"

    Thursday, August 20, 2026
    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akizungumza maofisa usafirishaji (Boda Boda) kwenye Jimbo la Kivule ambapo aliwataka kuacha tabia ya...Soma Zaidi
    Newer Posts Older Posts Home
    Subscribe to: Posts ( Atom )

    MPIGANAJI

    MPIGANAJI

    WATEMBELEAJI

    Blogu Marafiki

    • CCM Blog
      UWT YAPONGEZA NDEJEMBI KUTHIBITISHWA KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS - Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), umepongeza uamuzi wa wabunge kumthibitisha Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais kwa kura 324, sawa na ...
      1 hour ago
    • MICHUZI BLOG
      WAZIRI KIKWETE: SOMALIA IMEKUJA KUJIFUNZA MAFANIKIO YA MATUMIZI YA MIFUMO YA KIDIJITARI KATIKA UTUMISHI WA UMMA NCHINI TANZANIA - Na Lusungu Helela, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhwani Kikwete, amesema uamuzi wa Serik...
      7 hours ago
    • BBC News Swahili
      Dira Ya Dunia - Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
      11 hours ago
    • LENZI YA MICHEZO
      RAIS SAMIA AAGANA RASMI NA BALOZI WA MISRI NCHINI - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri nchini, Mheshimiwa...
      12 hours ago
    • MOBILA SAFARIS
      Experience for Life: A Guest Story with Mobila Safaris - There are journeys you take. And then there are journeys that become part of you. For one couple travelling with *Mobila Safaris in January 20...
      13 hours ago
    • HABARI NA MATUKIO
      Dkt. Mwigulu ampongeza Samia Kumteua Ndejembi kuwa Makamu wa Rais - *Na Janeth Raphael - MichuziTv - Bungeni Dodoma.* *Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kumwona Deogratius ...
      1 day ago
    • Wazalendo 25 Blog
      NBC Yatoa Mikopo ya Makazi kwa Wakulima 57 - - Yaendelea kukabidhi Malori kwa Vyama vya Ushirika Kufuatia hatua ya Serikali kukabidhi Shilingi bilioni 300 kwa taasisi saba za kifedha, ikiwemo Benki...
      2 weeks ago
    • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
      YANGA SC YASAJILI CHIPUKIZI MWINGINE, NI HUSSEIN MIHAMBO WA MASHUJAA FC - KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji chipukizi, Hussein Juma Mihambo (19) kutoka Mashujaa FC kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao. Anakuwa mc...
      5 weeks ago
    • ZanziNews
      WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS - MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka jiwe la ms...
      5 months ago
    • HABARI MSETO BLOG
      -
    • WWW.BUKOBASPORTS.COM
      -
    Show 7 Show All

    TUFUATILIE

    • 200 Fans Like
    • 31,960 Followers Follow
    • 0 Fans Follow
    • 18 Subscribers Subscribe

    HABARI ZA MICHEZO PENDWA

    •  Serikali Yazindua Programu ya InnoIP Tanzania Kulinda na Kuendeleza Rasilimali za Kiakili
      Serikali Yazindua Programu ya InnoIP Tanzania Kulinda na Kuendeleza Rasilimali za Kiakili
      SERIKALI imechukua hatua kulinda na kuendeleza rasilimali za kiakili nchini kutokana na uzinduzi rasmi wa Programu ya InnoIP Tanzania, mkaka...
    •  Kauli ya Freeman Mbowe kwenye uzinduzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere
      Kauli ya Freeman Mbowe kwenye uzinduzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere
      MWANASIASA mstaafu na mwekezaji nchini, Freeman Mbowe ameipongeza serikali kwa kukamilisha Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNH...
    •  SAMIA AZINDUA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE NA KUAGIZA KUKAMILISHWA KWA MIUNDOMBINU YA USAFIRISHAJI
      SAMIA AZINDUA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE NA KUAGIZA KUKAMILISHWA KWA MIUNDOMBINU YA USAFIRISHAJI
      Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,ameitaka Wizara ya Nishati kusimamia ukamilishaji wa haraka wa ...
    •  WAZIRI SANGU ASISITIZA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI, DKT. NCHEMBA ACHANGIA MILIONI 25 AICT
      WAZIRI SANGU ASISITIZA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI, DKT. NCHEMBA ACHANGIA MILIONI 25 AICT
      Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Clement Sangu, amesema kuwa Serikali itaendelea ku...
    •  VIJANA WAAMBIWA NI WAKATI KUBADILISHA UBUNIFU KUWA UTAJIRI
      VIJANA WAAMBIWA NI WAKATI KUBADILISHA UBUNIFU KUWA UTAJIRI
      Maonyesho ya Mashariki Creative Economy Expo 2026 yaliyohitimishwa hivi karibuni katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam yalikuwa...
    •  WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA MWANANYAMALA
      WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA MWANANYAMALA
      WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya ziara ya kushtukiza leo Jumapili, Agosti 23, 2026, katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa Mwananyamal...
    •  CCM yamtimua uanachama Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, Kupeleka jina la Ndejembi Bungeni
      CCM yamtimua uanachama Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, Kupeleka jina la Ndejembi Bungeni
        SIKU moja baada ya  Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kutangaza kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania na Rais samia Suluhu Hassan kuri...
    • Askofu Keshomshahara awataka vijana kukabili changamoto za maisha
      Askofu Keshomshahara awataka vijana kukabili changamoto za maisha
         ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Dk Abednego Keshomshahara amewataka vijana kua...
    •  MSIGWA:Tumevunja rekodi bandari kuhudumia makasha
      MSIGWA:Tumevunja rekodi bandari kuhudumia makasha
      SERIKALI imesema Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi ya kiwango cha kuhudumia makasha.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, San...
    •  Tanzania , IOM Kuimarisha Ushirikiano Kwenye Ajira na Uhamaji Salama
      Tanzania , IOM Kuimarisha Ushirikiano Kwenye Ajira na Uhamaji Salama
      Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) ili kutumia uhamaji kama kichoch...

    Wasomaji Kimataifa

    Flag Counter

    MAKTABA YA MICHEZO

    BURUDANI GOFU HABARI JEZI JUDO KIKAPU KUOGELEA MICHEZO MICHEZO KIMATAIFA MICHEZO KITAIFA NGUMI RIADHA SANAA SOKA TAFF TFF WALEMAVU WANAWAKE

    KUMBUKUMBU ZA MICHEZO

    MARAFIKI

    HABARI MCHANGANYIKO

    HABARI MPYA

    HABARI ZINASOMWA ZAIDI

    • RATIBA NA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA RAUNDI YA PILI, KAGERA SUGAR vs MBEYA CITY KUCHEZWA KAITABA STADIUM JUMAMOSI, YANGA VS ASHANTI UNITE TAIFA
      RATIBA NA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA RAUNDI YA PILI, KAGERA SUGAR vs MBEYA CITY KUCHEZWA KAITABA STADIUM JUMAMOSI, YANGA VS ASHANTI UNITE TAIFA
      Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara unaanza Jumamosi kwa mechi tano katika miji ya Bukob...
    • RATIBA LIGI KUU ENGLAND WIKIENDI HII NA MSIMAMO ULIVYO MPAKA SASA 2013/2014
      RATIBA Jumamosi 31 Agosti 14:45 - Manchester City v Hull City 17:00 - Cardiff City v Everton 17:00 - Newcastle United v Fulham 17:0...
    • HAWA NDIO MANCHESTER UNITED INAOWANYATIA KWENYE USAJILI LIGI KUU ENGLAND
      David Moyes is hoping for a more successful transfer window this time around Luke Shaw of Southampton ...

    Copyright (c) 2012 - 2025 LENZI YA MICHEZO All Right Reserved

    Designed by Gadiola Emanuel - 0784 643 633
    Template By TBN | Developed By Gadiola Emanuel