DC MPOGOLO AWAONYA BODABODA KIVULE: "Acheni Mwendokasi, Vaeni Kofia Ngumu"



Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akizungumza maofisa usafirishaji (Boda Boda) kwenye Jimbo la Kivule ambapo aliwataka kuacha tabia ya kuendesha pikipiki mwendokasi na kuwakumbusha kuvaa kofia ngumu kwa usalama wa dereva na abiria wao wakati wa zioara yake ya kukagua miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa wilayani humo.






No comments