ENGLAND YAIFUNGA MOLDOVA 4-0 KATIKA MICHEZO WA KOMBE LA DUNIAMOLDOVA
Baada ya Mechi hii,
England watasafiri kwenda Kiev ambapo Jumanne watacheza na Ukraine.
Steven Gerrard akiachia shuti kali na kufunga bao la kwanza
Akishangilia hapa
Bao....mpira ukiishilia kwenye kamba
Ashley Cole kwenye anga zake
Danny Welbeck akikacha na mpira kwenda kufunga bao la tatu
Danny Welbeck akifunga bao lake la pili dakika za mwisho
kipindi cha kwanza.
Welbeck akikacha baada ya kuziona nyavu tena!!
akifunga bao la pili dhidi ya Moldova kwenye uwanja wa Wembley, LondonKUMBUKA TIMU HIZI ZILISHAKUTANA USO KWA USO
-Septemba 1996
Moldova 0 England 3 (Chisinau, Moldova)
-Septemba 1997
England 4 Moldova 0 (Wembley, London)
-Septemba 2012
Moldova 0 England 5 (Chisinau, Moldova)
-Septemba 2013
England 4 Moldova 0 ( Wembley,
London)
Ijumaa Septemba 6
England 4
v Moldova 0
Poland 1 v
Montenegro 1
Ukraine 9
v San Marino 0
Jumanne Septemba 10
San Marino v
Poland
Ukraine v
England
Ijumaa Oktoba 11
England v
Montenegro
Moldova v San
Marino
Ukraine v
Poland
Jumanne Oktoba 15
England v
Poland
Montenegro v
Moldova
San Marino v
Ukraine
Post a Comment