Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, March 22, 2013

TIMU YA MOROCCO YAWASILI, KOCHA ASIFU TAIFA STARS LAKINI ANASEMA ATACHEZA KWA TAHADHARI KULINDA HESHIMA

Aliyevaa miwani ndiye kocha wa Morocco

Baadhi ya wachezaji wa Morocco

KOCHA wa timu ya Morocco amesema kuwa timu yake itacheza kwa tahadhari jumapili kwani kikosi cha Taifa stars ni kizuri na kimekuwa kikionyesha kiwango kizuri kila siku lakini pia kikosi chake puia ni kizuri hivyo Taifa stars wasitegemee mchelea.

Kocha huyo aliyasema hayo wakati alipotua uwanja wa ndege jioni kwa ajili ya mchezo wa jumapili wa kutafuta kufuzu fainali za kombe la dunia za 2014.

Pia alisema pamoja na kikosi chake kukosekana wachezaji kama akina Chamackh hana wasiwasi na washamuliji wengine alionao kwani watatoa upinzani wakutosha.

No comments:

Post a Comment