Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, March 22, 2013

WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 WAKIWA KATKA MITAA YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUSHUHUDIA MAISHA YALIVYO


 Mmoja ya Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 akiwa anambebeleza mtoto aili apate kulala
 Washiriki hawa wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wenyewe waliamua wapunge upepo tuu hapa chini ya mti, ikiwa ni mapumziko katika mtaa huo.
 Mmoja ya Washiriki akiwa amebeba Mtoto katika mtaa huo
 Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika moja ya Duka Dogo mtaani wakinunua Mahitaji yao mbalimbali na kuulizia zaidi juu ya Mtaa huo.
Baadhi ya Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa wamekaa katika moja ya Mitaa wakijadili mambo kuhusu maisha ya watu wanaokaa katika eneo Hilo, Wa kwanza kutoka kulia ni Mrembo kutoka Mkoa wa Manyara akisikitika kwa kile alicho kiona katika mtaa huo.

No comments:

Post a Comment