Wakiwa wanaelekea kuwa wachezaji
'pacha' ghali zaidi katika Premier League - Romelu Lukaku na Paul Pogba
wanajifua vilivyo kwenye likizo yao huko Marekani.
Jose Mourinho anaamini kuwa klabu
yake imefikia makubaliano na Everton ya kumnunua Lukaku kwa pauni milioni 75
ambayo itamfanya awe mchezaji ghali wa pili katika Premier League nyuma ya Paul
Pogba aliyenunuliwa kwa pauni milioni 89.
Wawili hao wenye urafiki wa hali ya
juu, wako mapumzikoni Los Angeles na wamekuwa wakijifua pamoja tayari kwa msimu
mpya.
Lukaku anategemewa kufanya vipimo vya afya huko
huko Los Angeles na inaaminika kuwa dili hilo lina ushawishi mkubwa kutoka kwa
Pogba.
MASWAHIBA LUKAKU NA
POGBA SI MCHEZO HUKO MAREKANI, WANAJIFUA KINOMA
A+
A-
Print
Email
Wakiwa wanaelekea kuwa wachezaji 'pacha' ghali zaidi katika Premier
League - Romelu Lukaku na Paul Pogba wanajifua vilivyo kwenye likizo yao
huko Marekani.
Jose Mourinho anaamini kuwa klabu yake imefikia makubaliano na Everton
ya kumnunua Lukaku kwa pauni milioni 75 ambayo itamfanya awe mchezaji
ghali wa pili katika Premier League nyuma ya Paul Pogba aliyenunuliwa
kwa pauni milioni 89.
Wawili hao wenye urafiki wa hali ya juu, wako mapumzikoni Los Angeles na
wamekuwa wakijifua pamoja tayari kwa msimu mpya.
Lukaku anategemewa kufanya vipimo vya afya huko huko Los Angeles na
inaaminika kuwa dili hilo lina ushawishi mkubwa kutoka kwa Pogba.
Maswahiba Romelu Lukaku na Paul Pogba wakijifua kinoma
Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2017/07/maswahiba-lukaku-na-pogba-si-mchezo.html
Copyright © saluti5

No comments:
Post a Comment