Israel yasema imefanya mashambulizi ya anga yaliyolenga maeneo ya magharibi
na katikati ya Iran
-
Hakukuwa na maelezo zaidi yaliyotolewa kuhusu idadi ya walioumia au
waliouawa, wala maeneo halisi yaliyolengwa katika mashambulizi hayo.
2 hours ago
Post a Comment