GEITA GOLD YAPANDA LIGI KUU
Timu ya Geita Gold FC imerejea Ligi Kuu ya NBC baada ya leo kumfunga Songea United mabao 3-1 wakiwa nyumbani Uwanja wa Nyamkumbu.
Kwa
matokeo hayo Geita Gold ndio vinara wa ligi hiyo imefikisha pointi 71,
imeshinda mechi 22, sare tano na kupoteza mchezo mmoja kati ya 28 iliyocheza.
Kocha wa Geita Gold, Zuberi Katwila ameipandisha Geita Gold FC Ligi Kuu, na ikumbukwe aliwahi pia kuipandisha Ligi Kuu lhefu SC.
Geita Gold ilishuka daraja msimu wa 2023/2024.
Kocha wa Geita Gold, Zuberi Katwila ameipandisha Geita Gold FC Ligi Kuu, na ikumbukwe aliwahi pia kuipandisha Ligi Kuu lhefu SC.
Geita Gold ilishuka daraja msimu wa 2023/2024.

Post a Comment