Straika
wa Man United robin Van Persie ameripotiwa kuwa anamechi nne tu
zilizobaki msimu huu wa 2014/15 kuonesha Cheche zake ili kuokoa hatima
yake ya kubaki Old Trafford la sivyo atapigwa chini mwishoni mwa msimu. Katika
Mechi hizo 4 zilizobaki wenda akawa anapagwa katika kipindi cha kwanza.
Katika Msimu huu Van Persie amecheza mechi 25 tu kutokana na
kusumbuliwa na maumivu ya enka lakini atakuwa na bahati ya kuanzishwa
katika mechi hizo zilizobaki ili kuonesha kama kweli ataonesha mwitikio
wa kuonesha ubavu wake kama anastahili kubaki kwa mashetani wekundu wa
Old Trafford.
No comments:
Post a Comment