Jurgen Klopp njia nyeupe LiverpoolItakuwa
ni Vigumu kwa kocha wa Burussia Dortmund kukataa Ofa kutoka Liverpoo,
Kocha Huyo mwenye miaka 47 ataondoka katika Klabu yake ya sasa na kuna
habari kuwa atachukuliwa na Liverpool. Watu wa karibu na Kocha huyo
wameanza kudai kuwa Kocha huyo atafurahia kutua England.Sasa ni Jurgen Klopp au Brendan Rodgers
No comments:
Post a Comment