Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, March 11, 2015

KLAAS JAN HUNTELAAR AMSHANGAZA CRISTIANO RONALDO KWENYE UEFA CHAMPIONDS LEAGUE, REAL MADRID 3 vs 4 SCHALKE 04 (Agg 5 - 4) REAL WASHINDA KWA BAO LA UGENINI

Kipindi cha pili dakika ya 52 Karim Benzema na kufanya 3-2 nao Schalke 04 kusawazisha bao kupitia kwa Leroy Sane dakika ya 57 na kufanya 3-3 Agg ikiwa 5-3 kiujumla. Dakika ya 84 Klaas Jan Huntelaar aliifungia bao la nne Schalke 04 na kufanya bao kuwa 4-3 Agg kuwa 5-4.Ronaldo akiwa aamini kile kilichotokea Uwanjani baada ya kufungwa bao 4-3 na bao la Ugenini kuwabeba!Bale hakuonekana alifunikwa!!!Wachezaji wa Schalke 04 wakishangilia moja ya bao lao dhidi ya Real kwenye Mchezo wa Marudiano.Bao..Klaas Jan HuntelaarCristiano Ronaldo alipoisawazishia bao dakika ya 45Klaas Jan Huntelaar aliwapachikia Schalke 04 bao la pili dakika ya 40 kisha Ronaldo tena akaisawazishia bao dakika ya 45 kwenye dakika za majeruhi za kipindi cha kwanza na mtanange kwenda mapumziko zikiwa nguvu sawa ya 2-2.

Cristiano Ronaldo anaisawazishia bao Real Madrid bao kwa kichwa baada ya kupigwa kona katika dakika ya 25 kipindi cha kwanza.Schalke 04 ndio walioanza kutangulia kupata bao mapema dakika 20 ya kupitia kwa Christian Fuchs kwa kupiga shuti kali lililomfanya kipa Real Casillas kuupangulia nyavuni baada ya kumzidi nguvu.VIKOSI:
Real Madrid wanaoanza XI:
Casillas, Coentrao, Varane, Pepe, Arbeloa, Khedira, Kroos, Isco, Bale, Ronaldo, Benzema

Akiba: Navas, Marcelo, Hernandez, Nacho, Modric, Jese, Illarramendi
Schalke wanaoanza XI: Wellenreuther, Howedes, Matip, Nastasic, Hoger, Neustadter, Fuchs, Barnetta, Meyer, Choupo-Moting, Huntelaar

Akiba: Wetklo, Uchida, Kaan Ayhan, Sobottka, Goretzka, Sane, Kehrer Toni Kroos and Cristiano Ronaldo hand over a cheque to the Red Cross before kick-off
Mashabiki wakiingia Uwanjani Bernabeu tayari kwa kipute

No comments:

Post a Comment