Mchezaji wa zaani wa Real madrid captain Fernando Hierro akionesha karatasi ya kuonesha City Kundi E kundi ambalo linaonekana gumu.
Kipa wa Spain Iker Casillas alionesha Chelsea kwenye kundi G
Droo ya UEFA Champions League ni kama ifuatavyo:-
DROO YA MAKUNDI - UEFA CHAMPIONS
Kundi A: Atletico Madrid, Juventus, Olympiakos, Malmo
Kundi B: Real Madrid, Basel, Liverpool, Ludogorets Razgrad
Kundi C: Benfica, Zenit St Petersburg, Bayer Leverkusen, Monaco
Kundi D: Arsenal, Borussia Dortmund, Galatasaray, Anderlecht
Kundi E: Bayern Munich, Manchester City, CSKA Moscow, Roma
Kundi F: Barcelona, Paris St-Germain, Ajax, APOEL Nicosia
Kundi G: Chelsea, Schalke, Sporting Lisbon, Maribor
Kundi H: Porto, Shakhtar Donetsk, Athletic Bilbao, BATE Boris
No comments:
Post a Comment