CAPITAL ONE CUP: MK DONS 4 vs 0 MANCHESTER UNITED, WILLIUM GRIGG, BENIK AFOBE WAICHAKAZA VIBAYA UNITED!!
Dakika ya 63 Mchezaji yule yule Dons William aliwachoma United bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Man United na alifunga bao hilo kwa kichwa baada ya kupata krosi safi kama kona kutoka kwa Ben Reeves.
Benik Afobe aliyeingia kipindi cha pili akichukua nafasi ya William Grigg dakika ya 68 nae dakika ya 70 aliwafunga United bao lake baada ya kulishwa mpira na Danny Green.
William Grigg aliipachikia bao la kwanza MK Dons kipindi cha kwanza dakika ya 25 na kuweka 1-0 dhidi ya United baada ya makosa kutokea ya Evans wa United kutoa pasi kwa adui na ndipo Ben Reeves kutoa pasi kwa William na Grigg kufunga bao hilo.
Kwenye Uwanja wa Nyumbani mk, Milton Keynes, Buckinghamshire mtanange ukiongozwa na Refa
S. Attwell
Post a Comment