Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, September 6, 2013

KOMBE LA DUNIA 2014: IJUMAA HII NI ENGLAND vs MOLDOVA

Uingereza kumenyana na Moldova mbio za fainali za Kombe la Dunia

Timu ya taifa ya soka ya Uingereza Ijumaa wiki hii itakuwa nyumbani kumenyana na Moldova katika mchuano wa kufuzu kwa kombe la dunia. 
Uingereza watakuwa uwanjani wakisaka ushindi wa kuwapa uongozi katika kundi lao ambao wapo katika nafasi ya pili kwa alama 12 nyuma ya Montenegro ambayo ina alama 14.
Baada ya mchuano wa kesho siku ya Jumanne juma lijalo Uingereza itakuwa ugenini kumenyana na Ukraine.
Kocha wa Uingereza Roy Hodgson amesema kuwa kikosi chake hakiwezi kuidharau Moldova na wanahitaji kucheza kwa makini wakiwa na mchuano mwajuma lijalo akilini.
Washindi 9 wa Makundi 9 wanafuzu moja kwa moja kwenda Brazil na Washindi wa Pili 8 bora katika Makundi 9 watapangiwa Mechi spesho za Mchujo za Mtoano ili kupata Timu 4 kuungana na Washindi 9 wa Makundi kwenda Brazil. Moldova wa wakipasha kujiweka sawa kwenye mchezo wao dhidi ya England leo hii.
Kocha wa Moldova Ion Caras akiongelea timu yake kuhusu mtanange


KIKOSI CHA ENGLAND KINATEGEMEWA KUWA HIVI:
-Hart; Walker, Cahill, Jagielka, Cole, Gerrard, Wilshere, Lampard; Walcott, Lambert, Welbeck 


KOMBE LA DUNIA 2014
ULAYA
RATIBA:
Ijumaa Septemba 6
KUNDI A
18:00 Macedonia v Wales
19:45 Serbia v Croatia
20:00 Scotland v Belgium
KUNDI B
17:00 Czech Rep. v Armenia
19:00 Malta v Denmark
19:45 Italy v Bulgaria
KUNDI C
16:00 Kazakhstan v Faroe Islands
19:45 Germany v Austria
19:45 R. of Ireland v Sweden
KUNDI D
18:00 Romania v Hungary
19:00 Turkey v Andorra
19:30 Estonia v Netherlands
KUNDI E
19:00 Norway v Cyprus
19:30 Slovenia v Albania
19:30 Switzerland v Iceland
KUNDI F
18:00 Russia v Luxembourg
19:45 Northern Ireland v Portugal
KUNDI G
19:10 Latvia v Lithuania
19:15 Bosnia-H v Slovakia
19:45 Liechtenstein v Greece
KUNDI H
19:00 Ukraine v San Marino
19:45 Poland v Montenegro
20:00 England v Moldova
KUNDI I
19:15 Georgia v France
19:30 Finland v Spain
Jumamosi Septemba 7
KUNDI F
19:00 Israel v Azerbaijan
Jumanne Septemba 10
KUNDI A
19:30 Macedonia v Scotland
19:45 Wales v Serbia

KUNDI B
17:00 Armenia v Denmark
19:00 Malta v Bulgaria
19:45 Italy v Czech Rep.
KUNDI C
17:00 Kazakhstan v Sweden
19:45 Austria v R. of Ireland
19:45 Faroe Islands v Germany
KUNDI D
19:00 Romania v Turkey
19:30 Andorra v Netherlands
19:30 Hungary v Estonia
KUNDI E
19:00 Norway v Switzerland
19:30 Cyprus v Slovenia
20:30 Iceland v Albania
KUNDI F
16:00 Russia v Israel
19:15 Luxembourg v Northern Ireland
KUNDI G
16:30 Lithuania v Liechtenstein
19:15 Slovakia v Bosnia-H
19:45 Greece v Latvia
KUNDI H
19:45 San Marino v Poland
19:45 Ukraine v England
KUNDI I
18:00 Georgia v Finland
20:00 Belarus v France
Ijumaa Oktoba 11
KUNDI A
19:45 Wales v Macedonia
KUNDI C
Germany v R. of Ireland
KUNDI D
Andorra v Romania
Estonia v Turkey
Netherlands v Hungary
KUNDI F
Azerbaijan v Northern Ireland
KUNDI H
England v Montenegro
Tuesday 15th October 2013
KUNDI A
Belgium v Wales
Scotland v Croatia
KUNDI C
R. of Ireland v Kazakhstan
KUNDI D
Hungary v Andorra
Romania v Estonia
Turkey v Netherlands
KUNDI F
Israel v Northern Ireland
KUNDI H
England v Poland
ULAYA-MSIMAMO:
KUNDI A








NAFASI Team P W D L F A GD Pts
1 Belgium 7 6 1 0 13 2 11 19
2 Croatia 7 5 1 1 10 4 6 16
3 Serbia 7 2 1 4 9 9 0 7
4 Wales 6 2 0 4 6 14 -8 6
5 Scotland 7 1 2 4 4 9 -5 5
6 Macedonia 6 1 1 4 3 7 -4 4
KUNDI B








NAFASI Team P W D L F A GD Pts
1 Italy 6 4 2 0 12 4 8 14
2 Bulgaria 6 2 4 0 11 4 7 10
3 Czech Rep. 6 2 3 1 6 4 2 9
4 Armenia 6 2 0 4 6 8 -2 6
5 Denmark 6 1 3 2 6 9 -3 6
6 Malta 6 1 0 5 2 14 -12 3
KUNDI C








NAFASI Team P W D L F A GD Pts
1 Germany 6 5 1 0 22 7 15 16
2 Austria 6 3 2 1 15 5 10 11
3 Sweden 6 3 2 1 11 7 4 11
4 R. of Ireland 6 3 2 1 12 10 2 11
5 Kazakhstan 6 0 1 5 2 15 -13 1
6 Faroe Islands 6 0 0 6 2 20 -18 0
KUNDI D








NAFASI Team P W D L F A GD Pts
1 Netherlands 6 6 0 0 20 2 18 18
2 Hungary 6 3 2 1 13 8 5 11
3 Romania 6 3 1 2 10 10 0 10
4 Turkey 6 2 1 3 7 7 0 7
5 Estonia 6 2 0 4 3 9 -6 6
6 Andorra 6 0 0 6 0 17 -17 0
KUNDI E








NAFASI Team P W D L F A GD Pts
1 Switzerland 6 4 2 0 8 1 7 14
2 Albania 6 3 1 2 7 6 1 10
3 Iceland 6 3 0 3 8 9 -1 9
4 Norway 6 2 2 2 7 7 0 8
5 Slovenia 6 2 0 4 8 10 -2 6
6 Cyprus 6 1 1 4 4 9 -5 4
KUNDI F








NAFASI Team P W D L F A GD Pts
1 Portugal 7 4 2 1 12 6 6 14
2 Russia 6 4 0 2 8 2 6 12
3 Israel 6 3 2 1 15 8 7 11
4 Northern Ireland 6 1 3 2 4 7 -3 6
5 Azerbaijan 7 0 4 3 3 9 -6 4
6 Luxembourg 6 0 3 3 3 13 -10 3
KUNDI G








NAFASI Team P W D L F A GD Pts
1 Bosnia-H 6 5 1 0 23 3 20 16
2 Greece 6 4 1 1 7 4 3 13
3 Slovakia 6 2 3 1 7 5 2 9
4 Lithuania 6 1 2 3 4 8 -4 5
5 Latvia 6 1 1 4 6 14 -8 4
6 Liechtenstein 6 0 2 4 3 16 -13 2
KUNDI H








NAFASI Team P W D L F A GD Pts
1 Montenegro 7 4 2 1 14 7 7 14
2 England 6 3 3 0 21 3 18 12
3 Ukraine 6 3 2 1 10 4 6 11
4 Poland 6 2 3 1 12 7 5 9
5 Moldova 7 1 2 4 4 11 -7 5
6 San Marino 6 0 0 6 0 29 -29 0
KUNDI I








NAFASI Team P W D L F A GD Pts
1 Spain 5 3 2 0 8 2 6 11
2 France 5 3 1 1 8 4 4 10
3 Finland 5 1 3 1 4 4 0 6
4 Georgia 5 1 1 3 3 7 -4 4
5 Belarus 6 1 1 4 4 10 -6 4
**WASHINDI 9 WA MAKUNDI WATATINGA MOJA KWA MOJA BRAZIL
**WASHINDI WA PILI 8 BORA KATIKA MAKUNDI 9 WATAPANGIWA MECHI SPESHO ZA MCHUJO ZA MTOANO ILI KUPATA TIMU 4 KUUNGANA NA WASHINDI 9 WA MAKUNDI KWENDA BRAZIL

No comments:

Post a Comment