WAZIRI WA HABARI, MICHEZO, UTAMADUNI NA VIJANA, FENELLA MUKANGARA.
Waziri wa habari, michezo, utamaduni na
vijana, Fenella Mukangara amefuta matumizi ya katiba mpya ya TFF ya mwaka 2012
kwa vile imekiuka kanuni na sheria za BMT hivyo TFF wanatakiwa kutukia katiba ya
mwaka 2006 ambayo imetumika katika mikoa kufanyia uchaguzi.
Mukangara
amesema TFF inatakiwa kufuata kanuni nasheria za BMT ambazo ambazo ndizo zenye
maelekezo ya kufanya marekebisho ya katiba .
Hakuna chama chochote hapa
nchini kilicho juu ya BMT yaani baraza la michezo nchini ,hivyo TFF wanatakiwa
kufanya mkutano mkuu kwa kutumia katiba ya mwaka 2006 na FIFA wanatakiwa
kuelezwa mambo yalivyo pindi watakapokuwa hapa.
Pia waziri amesema
anamuondoa kazi msajili aliyepitisha katiba ya TFF kwani hajafuata kanunu na
sheria na kumuweka mwingi pamoja na kuhamisha ofisi ya msajili
No comments:
Post a Comment