RAIS SAMIA AMTEUA MWISHAWA KUWA KAMISHNA TANAPA
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Massana Gibril Mwishawa kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Tanzania National Parks.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Julai 2 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, uteuzi huo unaanza mara moja.Kabla ya uteuzi huo, Mwishawa alikuwa Naibu Kamishna wa Uhifadhi anayeshughulikia Maendeleo ya Biashara TANAPA.
Anachukua nafasi ya Musa Nassoro Kuji, ambaye amemaliza muda wake wa uongozi.
.jpg)
Post a Comment