UZURI QUEENS YAIFUNGA TEMEKE QUEENS MABAO 3-0 LIGI YA MKOA WA DAR ES SALAAM
Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Uzuri Queens Mariam
Aziz akimtoka beki wa Temeke Queens Mariam Kaponya kwenye mchezo wa Ligi ya
wanawake Mkoa wa Dar es Salaam uliochezwa Uwanja wa Karume juzi. Uzuri Quuens
iliifunga Temeke queens mabao 3-0.
No comments:
Post a Comment