BRENDAN RODGERS KWENYE KIBARUA KIGUMU LEO, MASHABIKI WAANDAMANA, WAMTAKA KLOPP AU KURUDISHA BENITEZ
Washabiki wa Liverpool wameibuka na kutaka Meneja wao Brendan Rodgers afukuzwe. Liverpool
wameshinda Mechi 2 tu kati ya 7 zilizopita na kuwaacha Nafasi ya 5
kwenye Ligi ambayo ni nje ya kucheza UEFA CHAMPIONS LIGI Msimu ujao na
pia walitupwa nje kwenye FA CUP baada ya kutolewa na Aston Villa katika
Nusu Fainali.Klopp na BrendanRafael Benitez wenda akarudi Anfield.
No comments:
Post a Comment