
Manchester United wakipanda train kuelekea Ugenini tayari kucheza mchezo wao ugenini na Crystal Palace

Jonny
Evans, Marouane Fellaini, Phil Jones, Luke Shaw, Radamel Falcao na
Andreas Pereira walipofana mazoezi kujiandaa na Mchezo wao wa leo dhidi
ya Crystal Palace.

Jones nae alipasha hiyo jana ijumaa kwenye Uwanja wa Mazoezi wa Aon complex

Radamel Falcao na Robin van Persie

Marcos Rojo na James Wilson

Juan Mata, Antonio Valencia na Rooney

Valencia kushoto, Rooney kwenye mazoezi

Evans na Jones wakiwa pamoja na Smalling
No comments:
Post a Comment