BENTEKE AWAFUNIKA JOHN TERRY NA ANDER HARRERA TUZO YA MCHEZAJI BORA ENGLAND, NIGEL PEARSON NAE ATUNUKIWA
!
BENTEKE AMEFUNGA BAO 5 KWENYE MECHI 4 MWEZI APRIL 4 April - Man Utd 3-1 Aston Villa (1 goal) 7 April - Aston Villa 3-3 QPR (3 goals) 11 April - Tottenham 0-1 Aston Villa (1 goal) 25 April - Man City 3-2 Aston Villa (0 goals) Total: 4 games, 5 goals
No comments:
Post a Comment