
Ivan akiwa na Messi wakishangilia bao pamoja na Neymar
Dakika
ya 31 kipindi cha kwanza Ivan Rakitić anaipatia bao la kwanza Barcelona
baada ya kupata pasi kutoka kwa Messi na kufanya 1-0 dhidi ya City Camp
Nou. Kipindi cha pili dakika ya 79 Man City walipata penati na Sergio
Agüero aliikosa penati hiyo kwa kudakwa na kipa Ter Stegen.
Bao...

Ivan Rakitić akiwakutanisha pamoja Barca kupongezana bao

1-0

Suarez na Kampany wakichuana vikali kwenye Marudiano huko Camp Nou usiku huu.

Kompany akiwa hoi baada ya Barca kupata bao la kwanza

Baadhi ya Wachezaji wa City wakiwa vichwa chini.

Samir akioneshwa kadi ya njano

Kikosi cha Timu ya Manchester City kilichoanza dhidi ya Barca

Kikosi cha Barcelona kilichoanza.

Viongozi wa Barca, Kati ni Louis Enrique Kocha Mkuu wa Barcelona

Kocha wa City Manuel Pellegrin
VIKOSI:
Barcelona: Ter Stegen, Dani Alves, Pique, Mathieu, Jordi Alba, Rakitic, Mascherano, Iniesta, Messi, Suarez, Neymar.
Akiba: Bravo, Xavi, Pedro, Rafinha, Bartra, Sergi Roberto, Adriano.
Manchester City: Hart, Sagna, Kompany, Demichelis, Kolarov, Nasri, Toure, Fernandinho, Milner, Silva, Aguero.
Akiba: Caballero, Zabaleta, Fernando, Dzeko, Bony, Jesus Navas, Lampard.
Refa: Gianluca Rocchi

Manchester City wana kibarua kigumu kusonga Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI kwa mara yao ya kwanza kabisa.
City Jumatano Usiku wapo Nou Camp kurudiana na Barcelona baada ya
kuchapwa 2-1 na Barca wakiwa kwao Etihad Wiki 3 zilizopita katika Mechi
ya kwanza.

Kocha wa Barcelona Luis Enrique

Man City kupindua kichapo dhidi ya Barca

Post a Comment