Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' (kulia) akimkabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kumdunda bondia Cosmas Cheka na kunyakuwa ubingwa wa U.B.O Africa Class kwa sasa anamiliki mikanda miwili ya Africa ukiwemo wa WPBF na U.B.O Africa. |
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' (kushoto) akiangalia mkanda wa bingwa mpya wa U.B.O Africa Ibrahimu class 'King Class Mawe' aliopata hivi karibuni baada ya kumdunda bondia Cosmas Cheka |
No comments:
Post a Comment