Harry Kane akishangilia bao lake la pili Kwenye
Mechi pekee ya Ligi Kuu England hii Leo huko Loftus Road, Tottenham
Hotspur wamewachapa Wenyeji QPR Bao 2-1 na kushika Nafasi ya 6 kwenye
Ligi hiyo.
Spurs walitangulia Bao 2-0 mbele kwa Goli za Harry Kane za Dakika ya 34 na 68 na QPR kufunga Dakika ya 75 kwa Bao la Sandro Mchezaji wa zamani wa Tottenham.
Bao hizi mbili za Harry Kane zimemfanya awe na Bao 26 katika Msimu huu. Harry Kane akishangilia bao lake2-1 Harry Kane akifunga bao zote mbili peke yake leo
Kipigo hiki kimewaacha QPR wakiwa Nafasi ya 3 toka mkiani.Kashkashi ilitokea kwa kutofautiana hapa..kati ya pande zote mbili.

No comments:
Post a Comment