Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, March 8, 2015

BAYERN MUNICH YAZIDI KUPETA KILELENI, YAIFUNGA BAO 3-1 TIMU YA HANNOVER 96


VINARA wa Bundesliga ambao pia ni Mabingwa Watetezi, Bayern Munich, Leo wameshinda Ugenini walipoichapa Hannover 96 Bao 3-1 na kupaa kileleni wakiwa wanaongoza kwa Pointi 11 mbele ya VfL Wolfsburg ambayo Leo imechapwa 1-0 Ugenini na FC Augsburg.


Thomas Muller akiwapa mashabiki salaam baada ya kuiongoza Timu kuibuka na ushindi wa  3-1
Xabi Alonso akifanya yake

Mchezaji wa Hannover  Hiroshi Kiyotake  akishangilia baada ya kuwaa bao la kuongoza mapema

Mastaa wa Bayern Medhi Benatia, Franck Ribery na Robert Lewandowski Hadi Mapumziko Bao zilikuwa 1-1 kwa Hannover kutangulia kufinga katika Dakika ya 25 kwa Bao la Hiroshi Kiyotake na bayern kusawazisha kwa Bao la Dakika ya 28 la Xabi Alonso.
Kipindi cha Pili Bao 2 za Thoma Muller, moja likiwa Penati, limewapa ushindi Bayern wa Bao 3-1.

Nao Borussia Dortmund, wakicheza Ugenini na Hamburger SV, walitoka Sare ya 0-0.

No comments:

Post a Comment