Mcheza tenis namba moja duniani Novak Djokovic ilikuwa ni furaha pale aliponyakua ubingwa wa BNP Paribas Open kwa mshinda mpinzani wake Roger Federer kwa set 6-3 6-7 (5-7) 6- huko indian Wells nchini Marekani.Djokovic mwenye miaka 27 alikuja juu na kutawala mchezo tangu mwanzo ambapo baade Federer akajitutumia lakini akaishia kuchapwa na mpinzani wake.Novak Djokovic
No comments:
Post a Comment