Manchester
City imetangaza vifaa vyao vipya vya msimu ujao ambavyo vijana wa Manuel
Pellegrini watakuwa wakitupia wakati wakijaribu kutetea taji lao la
Premier League.
Mbingwa
hao wameutangaza uzi wa rangi ya buluu iliyo iva kutoka kampuni ya
vifaa vya michezo ya Nike zikiwa zimesalia siku 16 kabla ya uzinduzi wa
msimu mpya ambao utatanguliwa na mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya
Arsenal.
Pablo Zabaleta akiwa katika pozi la jezi mpya ya msimu ikiwa na vionjo vya rangi ya njano
Jezi mpya itaanza kuuzwa July 29 ambapo unaweza kuagiza kuanzia sasa.
No comments:
Post a Comment