Didier Drogba amekamilisha ndoto yake ya kurejea Chelsea.
Nahodha
huyo wa timu ya taifa ya Ivory Coast amesaini mkataba wa mwaka mmoja
ambao utamfaya kuwa Mkongwe wa darajani baada ya kusajiliwa kwa mara ya
kwanza na Jose Mourinho kwa ada ya pauni milioni £24 mwaka 2004.
Drogba ametanabaisha kuwa hatamuangusha Jose Mourinho ambaye ameamua kuungana naye kwa mara ya pili.
Amesema
'Yamekuwa
ni maamuzi rahisi - si rahisi kuikataa fursa hii ya kufanya kazi na
Jose kwa mara nyingine. Kila mmoja anajua mahusiano yangu na klabu hii
na imekuwa siku zote ni kama nyumbani.
Akianguka mwaka mmoja: Mshambuliaji wa Ivory Coast amekamilisha vipimo vya afya na kutia saini mkataba wa mwaka mmoja.
'Nia
yangu YA kushinda iko pale pale na naangalia mbele juu ya fursa hii
kuisaidia timu yangu, na nafurahia ukurasa huu mpya katika kazi yangu.'
Kijana mpya: Drogba anarejea Chelsea baada ya miaka miwili akiwa nje ya London ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment