Serena
Williams alilazimika kujiondoa katika michuano ya Wimbledon ya kiangazi
kufuatia kushambuliwa na virus, lakini nyota huyo wa mchezo wa tenisi
duniani alionekana kama ni mwenye nafuu baada ya kuvinjari na marafiki
katika mapumziko yake huko Croatia.
Akiwa
na umri wa miaka 32, Serena alijondoa kwenye hatua ya wachezaji wawili
wawili akiwa na nduguye Venus ambapo walikuwa wakutane na akina dada
wawili Kritina Barrois
na Stefanie Voegele.
Serena
alifungwa na Alize Cornet katika mchezo wa mmoja mmoja wa SW19, lakini ameweka pembeni maumivu hayo na kuelekea Pula, Croatia.
'Sitaweza kuendelea na mashindano,' Alikaririwa Serena akiongea hivyo.
Hii ni shida! Serena Williams akiwa ndani ya bikini wakati wa mapumziko yake Pula, Croatia Ijumaa iliyopita.
VIP: Serena akiwa na meya wa Novigrad Anteo Milos wakati wa mapumziko yake
Hakuona shida kutembea mtaani akiwa katika afya baada ya kuugua wakati wa michezo ya kiangazi ya Wembledon
Hali
mbaya:Serena akionekana dhahiri kushindwa kuendelea na mashindano ya
Wimbledon kufuatia kushambuliwa na virus, pembeni yake ni dada yake
Venues.
No comments:
Post a Comment