Balotelli akiwa na mpenzi wake Fanny Neguesha walipokuwa katika duka la vifaa vya michezo la Puma |
Balotelli anatarajiwa kuelekea katika klabu yake ya AC Milan kwa maandalizi ya msimu nchini Marekani |
Mario
Balotelli anataka pauni milioni £5 kwa mwaka nje ya makato ya kodi kama
Arsenal wanataka ajiunge nao msimu wa usajili wa kiangazi.
The
Gunners wameonyesha nia kwa mshambuliaji huyu wa kimataifa wa Italia
baada ya kuwepo fununu kuwa klabu yake ya AC Milan iko tayari kumuuza.
Arsenal
ni kama wameingiwa na baridi ya kuendelea na Balotelli kufuatia kuwepo
na maendeleo mazuri katika mpango wao wa kumsajili Loic Remy lakini pia
inaonekana mpango wa kumsajili mshambuliaji huyo wa Queens Park Rangers
unaonekana kukwama kutokana na mshahara anao hitaji mshambuliaji huyo.
No comments:
Post a Comment