
Wachezaji wa Uruguay wakishangilia na mashabiki wao!

Kipindi cha pili dakika ya 59 Claudio Marchisio alipewa kadi nyekundu baada ya kufanya rafu mbaya kwa mchezaji wa Italy
Bao la ushindi limefungwa na Diego GodÃn katika dakika ya 81 baada ya kupata pasi kutoka kwa G. RamÃrez.
Italy
sasa wametupwa nje ya Kombe la Dunia na Uruguay baada ya kufungwa Bao
1-0 huku wakucheza Mtu 10 kufuatia Kadi Nyekundu kwa Claudio Marchisio
kwenye Dakika ya 60.
Mbali ya kufungwa na kupewa Kadi Nyekundu,
hasira kubwa za Italy zipo kwa Refa Marco Rodriguez wa Mexico kwa
kutoona Luis Suarez akimng’ata Meno Beki wa Italy Chiellini.
Diego Godin kwenye patashika

Alvaro Pereira akichuana na Matteo

Nicolaus Lodeiro akichuana vikali na Claudio wa Italy

Mapema kipindi cha kwanza Mario Balloteli akiwatawanya wachezaji wa Uruguay

Demu wa Mario Balloteli akichukua kumbukumbu za picha

Taswira ya hali ya uwanja kipute kikiendelea..

Mashabiki wa Uruguay wakishangilia timu yao.

Shabiki wa Uruguay aliyebamba mashabiki wenzake na kuwa kivutio uwanjani hapo..

Suarez akilalamika baada ya kufanyiwa rafu

Kaa pembeni!

Post a Comment