Chupuchupu!!!!!!!!!!!!! Kipa wa Mexico akiokoa jahaz langoni mwake...Kipa
wa Mexico Ochoa(kulia) akipongezana na Marquez baada ya kuokoa na
kusaidia timu yake kutoruhusu bao hata moja langoni mwake dhidi ya
Brazil, Timu zote mbili zimemaliza mtanange huu zikiwa Nguvu sawa ya
bila kufungana ya 0-0. Akiokoa mishuti minne langoni mwake..moja ni lile
la Neymar likiwa la kichwa hapo kwenye uwanja Fortaleza, Estadio
Castelao.
Chupuchupu Brazil waifunge Mexico...hapa!Neymar tena....Neymar (katikati) akiendesha....Tupo tayari kwa lolote!!Ni Brazil v Mexico...Jezi na Viatu vya Timu ya Brazi...
Sisi ni mashabiki wa Mexico
Mashabiki Brazil uwanjani Estadio Castelao
VIKOSI:
Brazil: Julio Cesar, Dani Alves, Thiago Silva, David Luiz, Marcelo, Paulinho, Fred, Neymar, Oscar, Ramires, Luiz Gustavo
Subs: Jefferson, Victor, Dante, Maxwell, Henrique, Maicon, Fernandinho, Hernanes, Bernard, Willian, Jo.
Mexico: Ochoa, Rodriguez, Marquez, Herrera, Layun, Dos Santos, Moreno, Guardado, Peralta, Aguilar, Vazquez

No comments:
Post a Comment