DIANA FESTO NDIYE NICE & LOVELY MISS TANGA 2014

Nice & Lovely Miss Tanga 2014, Diana Festo akiwa katika gari lake baada ya kuibuka mshindi katika shindano lililofanyika Mkonge Hotel jumamosi June 21' 2014.
Washindi waliofanikiwa kuingia tano bora ya Nice & Lovely Miss Tanga 2014
Mshiriki akiwa katika vazi la ubunifu.
Nice
& Lovely Miss Tanga, Diana Festoa ( katikati ) akiwa na mshindi wa
pili Noon Juma na Vanesa Charles aliyeibuka mshindi wa tatu.
Post a Comment