Mchezaji Tenesi nambari mbili kwa ubora wa mchezo huo duniani Novak Djokovic hatimaye amefanikiwa kutetea taji lake la dunia la mchezo huo baada ya kumfunga Rafael Nadal kwenye mchezo wa fainali.
Djokovic ambaye alipoteza nafasi yake ya kwanza kwa rafael Nadal mwezi mmoja uliopita, hapo jana alikuwa mwiba kwa mpinzani wake na kufanikiwa kumdhibiti kwa muda wote wa mchezo.
Djokovic ambaye ni raia wa Serbia, amefanikiwa kutetea taji lake kwa kumfunga Nadal kwa seti mbili mfululizo kwa matokeo ya 6-3 na 6-4 kwenye mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa O2 jijini London.
Kufuatia ushindi huo Nadal amefanikiwa kuongeza historia kwenye kitabu chake cha kumbukumbu baada ya hapo jana kufikisha mechi ya ishirini na mbili mfululizo bila kupoteza akimaliza msimu wake wa mwaka 2013 kwa mafanikio katika miaka mitatu mfululizo.
Djokovic hivi sasa ameelekea mjini Belgrade, Jamhuri ya Czech ambapo siku ya Ijumaa atashiriki fainali za michuano ya Davis.
Akizungumza mara baada ya mchezo huo, Djokovic anasema amefurahishwa na kiwango alichonacho kwasasa na pia kumpongeza mpinzani wake kwa kuonesha mchezo mzuri.

Djokovic akibusu kombe lake baada ya kumshinda mpizani wake Nadal
Djokovic akipiga kelele baada ya kumshinda adui yake Nadal
Djokovic hivi sasa ameelekea mjini Belgrade, Jamhuri ya Czech ambapo siku ya Ijumaa atashiriki fainali za michuano ya Davis.
Djokovickwenye patashika na Nadal
Nadal kijibu mapigo kwa Djokovic
Djokovic akiwa makini wakati anacheza fainali yake na Rafael Nadal
Djokovic na Nadalwakipongezana baada ya mchezo
Nadal akishangilia nae baada ya kumkamata na kumtoa kijasho Novak Djokovic wakati wanacheza
alipoweza kumshinda kwa seti moja wapo kabla ya mchezo kuisha.

Mchezaji wa Arsenal Jack Wilshere (kushoto) na Niall Horan (kulia) wakiwaangalia kwenye O2 Arena
wakati Novak na Nadal wakichuana vikali kwenye fainali
One love!!! Popstar Eliza Doolittle (kulia) nae alikuwepo kwenye fainali hizo
Popstar Mollie nae alikuwepo kwenye fainali kati ya Djokovic na Nadal
Mchezaji wa Arsenal Mikel Arteta nae alikuwepo kumcheki Nadal
Nadal akitupia!
Djokovic hapa alioneka kuwa nje baada ya kukosea!!!
No comments:
Post a Comment