Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, October 1, 2013

BARCELONA YAIFUNGA CELTIC BAO 1-0 KWENYE MCHEZO WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE


Cesc Fabregas akitupia nyavuni dakika ya 76 kipindi cha pili.

Pongezi: Wachezaji wa Barcelonawakimpongeza mwenzao Fabregas baada ya kufunga bao

Fabregas akishangilia baada ya kuipachikia bao Barca usiku huu.
Bao la kichwa la dakika ya 76 la Cesc Fabrigas limetosha kuwapa ushindi Barcelona usiku huu wakati wanacheza na Celtic kwenye Uefa Champions League. Kipindi cha kwanza kilimalizika timu zote zikiwa zimetosha ngungu na kutoka ya bila kufungana. Lakini kipindi cha pili Celtic Walizidiwa na Barca na Hatimaye kuchoka na Barca kutumia nafasi hiyokuwafunga bao hilo la dakika ya 76, bao la kichwa la mchezaji wa zamani wa Arsenal na aliyekuwa anatakiwa na Manchester United Msimu huu.
Scott Brownakimkwatua Neymar na kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
Marching orders: Scott Brown is sent off by French referee Stephane Lannoy after fouling Neymar
Scott Brown akitolewa nje kwa kadi nyekundu na refa  Stephane Lannoy baada ya kumfanyia ndivyo sivyo  Neymar

Sly dig: After bringing Neymar down, Brown appeared to go in for seconds
Baada ya kumwangusha  Neymar chini, Brownalimwongezea na kumkaushia hapa...!!
Head to head: Brown and Dani Alves share a word after his challenge on Neymar
Uso kwa uso: Brown na Dani Alves wakitupiana maneno baada ya  Neymar kufanyiwa majanga!!
VIKOSI:
Celtic: Forster, Lustig (Forrest 70), van Dijk, Ambrose, Izaguirre, Matthews, Brown, Mulgrew, Samaras, Commons (Pukki 86), Stokes (Kayal 70). Subs not used: Zaluska, Biton, Balde, Rogic.
Booked: Lustig, Samaras, Izaguirre.
Sent off: Brown.
Barcelona: Valdes, Dani Alves, Pique, Bartra, Adriano, Xavi, Busquets, Iniesta, Fabregas (Tello 78), Pedro (Sanchez 74), Neymar. Subs not used: Pinto, Montoya, Alexis, Jonathan, Song, Sergi Roberto.
Booked: Fabregas, Busquets.
Goal: Fabregas 75.
Referee: Stephane Lannoy (France).

RATIBA/MATOKEO
Mechi za Makundi-Raundi ya Pili:
Mechi zote Saa 3 Dakika 45 Usiku

Jumanne 1 Oktoba 2013
FC Basel 1893 0 v 1 Schalke 04
FC Steaua Bucureşti 0 v 4 Chelsea
Borussia Dortmund 3 v 0 Olympique de Marseille
Arsenal  2 v 0  Napoli
Football Club Zenit 0 v 0 FK Austria Wien
FC Porto Club 1 v 2 Atlético de Madrid
AFC Ajax 1 v 1 AC Milan
Celtic FC 0 v 1 FC Barcelona



Jumatano 2 Oktoba 2013
FC Shakhtar Donetsk v Manchester United FC
Bayer 04 Leverkusen v Real Sociedad de Fútbol
Juventus v Galatasaray A.Ş.
Real Madrid CF FC København
Paris Saint-Germain v SL Benfica
RSC Anderlecht v Olympiacos FC
Manchester City FC v FC Bayern München
PFC CSKA Moskva v FC Viktoria Plzeň

No comments:

Post a Comment