Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, August 22, 2013

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: FENERBAHCE 0 vs ARSENAL 3, GIBBS, RAMSEY NA GIROUD WAWANYAMAZISHA MASHABIKI NA KUMPA FURAHA WENGER UTURUKI


Carl Jenkinson, Kieran Gibbs, Theo Walcott, Aaron Ramsey na Olivier Giroud wakishangilia

Aaron Ramsey

Ramsey akitupia!!

Olivier Giroud akichonga penati

Per Mertesacker, Jenkinson na Walcott (wakimpongeza Giroud (katikati)
Mchezaji wa Arsenal Jack Wilshere akipambana na mchezaji mpya wa Fenerbahce Raul Meireles. Kocha Arsene Wenger akiangalia mtanange usiku huu kwenye uwanja wa Sukru Saracoglu Stadium Jack Wilshere akijaribu kumtoa mpira Pierre Webo Mchezaji Pierre Webo akimfanyia ndivyo sivyo Laurent Koscielny wa Gunners na kulazimika kupewa kadi ya njano na Koscielny kuondolewa nje! Mbele ya mzee Arsene Wenger akijionea live!!

Koscielny akijeuhiwa na  Webo kwa teke la usoni

Koscielny alitolewa nje na nafasi yake ikachukuliwa na  Carl Jenkinson
Kieran Gibbs kulia akishangilia na Theo Walcott baada ya kufunga bao la kwanza baada ya kupewa pasi safi iliyowapita mabeki wa Fenerbahce na kufanya 1-0 dhidi yao. Kieran Gibbs akipeta baada ya kuifungia bao Gunners!!!Aaron Ramsey kulia akipongezwa na Theo baada ya kufunga bao la pili nakufanya 2-0 dhidi ya Feneebahce

Wenger akiangalia mashabiki huku akiwa aamini walichokifanya Uturuki usiku huu

Bacary Sagna na Mertesacker wakipongezana huku Mousa kilio!!!
VIKOSI:
Fenerbahce: Demirel, Irtegun (Gonul 46), Yobo, Bruno Alves, Kadlec, Topal, Meireles (Potuk 82), Emre, Sow, Webo (Emenike 62), Kuyt. Subs not used: Gunok, Korkmaz, Baroni, Erkin.
Booked: Webo, Alves, Kadlec.
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny (Jenkinson 33), Gibbs, Rosicky, Wilshere, Ramsey, Cazorla, Giroud, Walcott (Monreal 87). Subs not used: Fabianski, Podolski, Sanogo, Frimpong, Gnabry.
Booked: Szczesny.
Goals: Gibbs 51, Ramsey 64, Giroud (pen) 77.
Referee: Gianluca Rocchi (Italy).
Attendance: 50,500

No comments:

Post a Comment