Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, August 22, 2013

NEYMAR AIOKOA BARCELONA BAADA YA KUSAWAZISHA BAO LA ATLETICO MADRID KATIKA MASHINDANO YA SUPERCOPA DE ESPAÑA


Lionel Messi
Lionel Messi alilazimika kutoka mwishoni mwa kipindi cha kwanza..baada ya kupata majeraha
Lionel Messi
Messi akipiga shuti kali jana
Lionel Messi
ESTADIO VICENTE CALDERON Jana Usiku ilishuhudia
Wachezaji wapya kwa Timu zao wakifunga Bao katika Mechi ya kwanza ya kugombea Supercopa De Espana ambapo Atletico Madrid na Barcelona zilitoka sare Bao 1-1.

Timu hizi zitarudiana huko Nou Camp Jumatano ijayo.
Bao la Atletico Madrid lilifungwa katika Dakika ya 12 na David Villa Mchezaji ambae alihamia Atletico akitokea Barca Mwezi uliopita.

Barcelona walisawazisha kwa Bao la Neymar alieingizwa katika Dakika ya 59 na kufunga Bao hilo katika Dakika ya 66 na hilo ni Bao lake la kwanza kwa Barca katika Mashindano rasmi.

Katika Mechi hii Barca walilazimka kumpumzisha Lionel Messi wakati wa Mapumziko kutokana na maumivu na nafasi yake kuchukuliwa na Cesc Fabregas.
Neymar
Neymar akisawazisha kwa kichwa na kufanya 1-1
Neymar
Neymarakishangilia hapa...
NeymarBarcelona walisawazisha kwa Bao la Neymar alieingizwa katika Dakika ya 59
David Villa
David Villa
David Villa
David Villa  ambaye alikuwa wa Barca zamani aliipatia bao Atletico
David Villaakishangilia na mashabiki
Diego Costa
Mchezaji wa Atletico  Diego Costa akimsukuma  Jordi Alba huku wote wakigombea mpira
Atletico v Barca
kipa Thibaut Courtois na defenders Filipe na Diego Godin wakimsimamisha Alexis Sanchez
Alexis Sanchez
Mario Suarez na Sanchez
Miranada
Miranda na No 7 Pedro wakikabana.

No comments:

Post a Comment