ILLUMINATHA DOMINICK ATWAA TAJI LA MISS REDD'S MISS MULEBA 2013
Mshindi wa Redd's Miss Muleba Illuminatha Dominick
akitabasamu mara baada ya kutangazwa
Mshindi wa pili kushoto Linah Mutayoba na kulia ni mshindi
wa wa tatu Fransisca
Ushindi mtamu...
Babylove Kalalaa ndiye aliyekuwa ameshikilia taji na sasa
ameliachia Illuminatha kwa mwaka huu 2013
Washiri wote wa redd's Miss Muleba kwenye show ya
pamoja

Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Muleba Lembris Kipuyo akifuatilia show
Mgeni
rasmi Mkuu wa Wilaya ya Muleba Lembris Kipuyo na aliyekaa (kushoto) ni kaimu
afisa Utamaduni Wilaya ya Muleba Bw. Kamaleck

Majaji wakitafuta mbinu za kumpata mshindi kila mmoja na kalamu yake

Dayna Nyange akivutwa hapa kutoa burudani

Mama na Mwana
Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Muleba Lembris Kipuyo akifuatilia show
Majaji wakitafuta mbinu za kumpata mshindi kila mmoja na kalamu yake
Dayna Nyange akivutwa hapa kutoa burudani
Mama na Mwana
Post a Comment