ALBAMU YA WAKUVANGA WA ORIJINO COMEDI INAYOITWA KATO IPO MITAANI, UKINUNUA UNAWEZA UKABAHITIKA KUPATA PIKIPIKI
Hizi ndiyo pikipiki za ushindi katika albam ya kato ya
msanii wakuvanga ambaye ameitambulisha albam yake mitaa mbalimbali ya Jiji la
DSM
Kushoto ni Mwasu Mporeambaye ni mratibu wa shughuli ya uuzaji wa albam ya msanii wa muziki na vichekesho Wakuvanga wakati wa kuonyesha pikipiki kwa waandishi wa habari
Kushoto ni Mwasu Mporeambaye ni mratibu wa shughuli ya uuzaji wa albam ya msanii wa muziki na vichekesho Wakuvanga wakati wa kuonyesha pikipiki kwa waandishi wa habari
Post a Comment