Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, May 5, 2013

SIMBA YAISHUSHA KAGERA SUGAR BAADA YA KUIFUNGA RUVU SHOOTING 3-1


Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo (kushoto) akiwania mpira na beki wa Ruvu Shooting,  Shaban Suzan katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Simba ilishinda 3-1.

Mshambuliaji wa Simba, Amri kihemba akimtoka beki wa Ruvu Shooting
Kocha Mkuu wa Simba akiteta jambo na beki wa timu hiyo, Shomari Kapombe.

No comments:

Post a Comment