MSANII
Diamond Platnumz ambae bado yupo kwenye ziara yake ya muziki nchini Uingereza,
hivi karibuni alipata nafasi ya kufanya mahojiano ndani ya kipindi cha Sporah
Show, kinachoendeshwa na mtangazaji wake mwanadada Sporah ...
Baadhi ya
picha zinazomuonesha Diamond akiwa katika mahojiano kwenye kipindi hicho, pia
akiwa na dancers wake kutoka WASAFI kwenye muonekano wa logo ya Sporah Show
|
Diamond akihojiwa na Sporah |
No comments:
Post a Comment