Timu ya Real Madrid ya Hispania leo imeondoshwa kwenye mashindano ya UEFA licha ya kuifunga Borussia Dortmund mabao 2-0.
Mchezo huo ambao uliochezwa NDANI YA SANTIAGO BERNABEU, Nyumbani kwa Real Madrid, huku mabao ya Ral Madrid yakifungwa na Benzema 82', Ramos 88'Borussian Dortmund wamefuzu kwa mabao 4-3 kwani kwenye mchezo wa awali wiki moja iliyopita walishinda mabao 4-1.
Ronaldo akijaribu kumpita mchezaji wa Borussia Dortmund
No comments:
Post a Comment