Mabondia wakitunishiana mshuli (kulia) Francis Cheka na (kushoto) ni Thomas Mashali katika ni Rais wa IBF, Onesmo Ngowi baada ya kupima uzito |
Thomas Mashali akipimwa afya |
Francis Cheka akipimwa afya |
Cheka akipima afya |
Rais wa IBF Onesmo Ngowi akifungua mzani mpya uliotumika kuwapima uzito mabondia ili kukwepa malalamiko ya kuwa mzani umechezewa. |
No comments:
Post a Comment