MASHABIKI MISRI WACHOMA OFISI ZA SHIRIKISHO LA SOKA
| Ofisi ya Shirikisho la Soka nchini Misri likiwaka moto baada ya kuchomwa na mashabiki kufuatia hukumu ya mahakama ya kifo kwa watu 21 |
Mashabiki wa soka wa klabu ya Al-Ahly katika jiji la
Cairo nchini Misri wamezua balaa katika jiji hilo ikiwa ni pamoja na kuichoma
moto ofisi ya shirikisho la soka nchini humo kufuatia mahakama jijini Cairo
kutoa hukumu ya kifo kwa mashabi 21 wa soka
Hivi ndivyo ilivyokuwa...
MAHAKAMA nchini Misri
imewahukumu kifo mashabiki wa soka 21 waliokuwa vinara wa vurugu zilizotokea
uwanjani huko jijini Port Said mwaka uliopita kesi ambayo ilizua mapigano makali
katika mji huo uliopo katika mto wa Suez. Mauaji hayo yalitokea Februari mwaka
jana mwishoni mwa mechi kati ya Al-Ahly ya jijini Cairo na wenyeji wa mji huo
timu ya Al-Masry.
Watazamaji walikanyakagana
wakati wakijaribu kutoka uwanjani baada ya mashabiki wa Al-Masry kuvamia
uwanjani na kuanza kupigana na wengine kurushwa nje ya uzio. Akitaja majina ya
watuhumiwa 21 jaji amesema mahakama hiyo imeridhishwa na ushahidi uliotolewa na
hivyo kuwahukumu mashabiki hao kunyongwa hadi kufa.
Mbali na hao mahakama hiyo
pia imewahukumu watu wengine watano kifungo cha maisha jela kwa vurugu hizo huku
wengine 28 kati ya mashabiki 73 waliofikishwa mahakamani hapo wamepewa vifungo
vya muda mfupi.
Fans of Cairo's Al Ahly football team, also known as
"Ultras", protested outside their club against the country's interior
ministry.
Al Ahly supporters expressed anger at the court ruling,
which also upheld death sentences against 21 people, most of them fans of Port
Said's Al Masry club over the riot in February 2012.
The violence in Port Said last year followed a league match
between Al Masly and Al Ahly, with home supporters setting upon the visiting
fans after the final whistle. Al Ahly supporters were killed in the melee which
was Egypt's worst football disaster.
Twenty-eight people were acquitted. Al Ahly fans had warned
police that they would retaliate if defendants were cleared.
Keep clicking for more pictures of the Ultras protesting in Cairo.
Keep clicking for more pictures of the Ultras protesting in Cairo.
Post a Comment