MANCHESTER UNITED YAIFUNGA READING BAO 1-0
Manchester United wakiwa kwao Old Trafford leo kwenye
English Premier League wameanza kuifunga Timu ya Reading goli la mapema dakika
ya 21 kipindi cha kwanza bao lililofungwa na Wayne Rooney baada ya kazi nzuri ya
Rio Ferdinand kuusogeza mbele mpira huo na hatimaye Rooney kuachia mkwaju mkali
ambao umeingia hadi nyavuni.
Bosi wa Manchester United Sir Alex Fergusonakimwaga wino kwa wapenzi wa United usiku huu kabla ya mtanange kuanza.
Rio
Ferdinand akikatiza kwa mchezaji wa Reading Mikele Leigertwood

Wayne Rooney akiachia mkwaju mkali kuiua Reading
Rooney
akishangilia baada ya kuipatia goli katika dakika ya 21.

Bosi wa Reading Eamonn Dolan akiwapa maelekezo wachezaji wake

Ryan Giggs akiendesha kama kawaida yake na hapa yupo na mchezaji Jobi McAnuff wakipambana
VIKOSI:
Man Utd: De Gea, Smalling, Ferdinand, Vidic, Buttner, Welbeck, Giggs, Anderson, Young, Rooney, Van Persie.
Subs: Lindegaard, Evans, Valencia, Hernandez, Carrick, Powell, Kagawa.
Goal: Rooney 21.
Bosi wa Manchester United Sir Alex Fergusonakimwaga wino kwa wapenzi wa United usiku huu kabla ya mtanange kuanza.
Wayne Rooney akiachia mkwaju mkali kuiua Reading
Bosi wa Reading Eamonn Dolan akiwapa maelekezo wachezaji wake
Ryan Giggs akiendesha kama kawaida yake na hapa yupo na mchezaji Jobi McAnuff wakipambana
Man Utd: De Gea, Smalling, Ferdinand, Vidic, Buttner, Welbeck, Giggs, Anderson, Young, Rooney, Van Persie.
Subs: Lindegaard, Evans, Valencia, Hernandez, Carrick, Powell, Kagawa.
Goal: Rooney 21.
Reading: Taylor, Kelly, Pearce, Mariappa,
Shorey, Karacan, Leigertwood, McAnuff, Robson-Kanu, McCleary, Hunt.
Subs: McCarthy, Gunter, Le Fondre, Morrison, Harte, Akpan, Blackman.

Referee: Mark Clattenburg (Tyne & Wear
Post a Comment