ARSENAL YAICHAPA SWANSEA MABAO 2-0
Arsenal wakicheza ugenini leo na timu ya Swansea
City, Kipindi cha kwanza wamekabana na kuisha bila ya kufungana, Arsenal ambao
wapo nafasi ya sita baada ya timu ya Everton kuwashusha wameweza kupata bao
dakika ya 74 goli lililofungwa na mchezaji mgeni klabuni hapo
Nacho Monreal baada ya mabeki wa Swansea kuchelewa
kuuokoa mpira huo na hatimaye wachezaji kadhaa wa Gunners kuupata na kupeana
pasi na hatimaye mchezaji Nacho kuutokomeza nyavuni. Dakika za lala salama
mchezaji Gervinho akaipatia timu yake bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya
Swansea.
Ushindi huu wa Gunners unawarudisha nafasi yao ya tano wakiwa na alama 50 Juu ya Everton walioifunga City leo wakiwa na alama 48 na wakitanguliwa na Chelsea wenye pointi 52.
Mchezaji wa Swansea Ashley Williams (nyuma) akipambana na
Olivier Giroud
Michua akipambana na mchezaji wa Arsenal Laurent Koscielny usiku huu
Subs Not Used: Tremmel, Bartley, Lamah, Shechter, Tiendalli
Booked: de Guzman
Arsenal: Fabianski, Jenkinson, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Arteta, Diaby (Ramsey 71), Walcott (Gibbs 85), Cazorla, Oxlade-Chamberlain (Gervinho 71), Giroud
Subs Not Used: Szczesny, Vermaelen, Rosicky, Coquelin
Booked: Arteta
Goals: Monreal 74, Gervinho 90
Att: 20,583
Ref: Jon Moss (W Yorkshire)
Ushindi huu wa Gunners unawarudisha nafasi yao ya tano wakiwa na alama 50 Juu ya Everton walioifunga City leo wakiwa na alama 48 na wakitanguliwa na Chelsea wenye pointi 52.
Michua akipambana na mchezaji wa Arsenal Laurent Koscielny usiku huu
Monreal akifunga bao la kwanza na kufanya 1-0 dhidi ya
wenyeji Swansea kwenye uwanja wa Liberty Stadium usiku huu.
Angel Rangel akipiga mpira mbele ya Laurent
Koscielny na Monreal
VIKOSI:
Swansea: Vorm, Rangel, Williams, Monk, Davies,
Dyer (Moore 76), Britton, de Guzman, Ki (Routledge 66), Hernandez,
MichuSubs Not Used: Tremmel, Bartley, Lamah, Shechter, Tiendalli

Post a Comment