TANZANITE QUEENS YAWANYUKA MAJIRANI 3 KWA 1

Mshambuliaji wat imu ya taifa ya soka ya wanawake chini ya umri wa miaka 20 ‘Tanzanite Queens’ Jamila Rajabu (kulia) akiwani mpira na kiungo wa timu ya Kenya ‘Rising Starlets’ Fasila Adhiambo wakati wa mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Azam Complex Chamazi Dar es Salaam jana. Tanzanite Queens ilishinda kwa penati 3-1 baada ya kuwa sare ya bao 1-1.


No comments